Skip to main content
- Ninawezaje kupata rasilimali za masomo?
- Toka ukurasa wa nyumbani nenda kwenye Madarasa
- Bonyeza darasa
- Nenda kwenye kichupo cha mtaala
- Bonyeza kwenye Rasilimali
- Chagua kiwango unachotaka
- Chagua rasilimali unazotaka
- Chagua somo unalotaka kisha bonyeza kupakua
